Kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal ambao utapigwa baadae leo huko Sudan, Balozi wa Tanzania nchini Sudan Silima Kombo amewahamasisha wachezaji wa Yanga kuhakikisha wanawatoa kimasomaso Watanzania kwa kushinda mchezo huo
Balozi Silima jana alihushuhudia mazoezi ya mwisho ya Yanga yaliyofanyika uwanja wa Al Hilal ambapo pia alipata nafasi ya kuzungumza na wachezaji pamoja na benchi la ufundi. Afisi ya Balozi imehakikisha Yanga inakuwa na mazingira bora katika kipindi chote ambacho watakuwa Sudan
ADVERTISE HERE