Hakuna lisilowezekana kwenye mpira wa miguu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Oct 2022
Hakuna lisilowezekana kwenye mpira wa miguu

Mabingwa wa Uganda Vipers Fc leo wamefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya kuiondosha TP Mazembe kwa mikwaju ya penati 4-2

Mchezo wa kwanza timu hizo zilipokutana Uganda zilitoshana nguvu kwa matokeo ya suluhu ya bila kufunga, mchezo wa leo uliopigwa dimba la TP Mazembe nao ukamalizika kwa suluhu ya bila kufungana

Hivi ndivyo matokeo ya mpira wa miguu huwa, dakika 90 za mchezo lazima ziheshimiwe

Kesho Yanga itashuka dimba la Al Hilal huko Sudan kuwakabili wenyeji wao

Wananchi tunasema hivi; hakuna jambo lisilowezekana kwenye mpira wa miguu

Yanga iko nchini Sudan kwa kazi moja tu, kusaka matokeo ya ushindi ili kutinga hatua ya makundi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’