Kiungo Salum Abubakar 'Sureboy' sio miongoni mwa wachezaji waliosafiri leo na kikosi cha Yanga kwenda Sudan kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal baada ya kuugua ghafla
Sureboy alipata Malaria siku chache zilizopita na hivyo kuondolewa kikosini
Aidha winga Denis Nkane naye hakusafiri kutokana kuwa majeruhi wakati mshambuliaji Chrispine Ngushi hakujumuishwa kwenye kikosi cha michuano ya CAF

Yanga inatarajiwa kutua Sudan majira ya saa 6:40 mchana wa leo tayari kwa mchezo utakaopigwa kesho Jumapili
ADVERTISE HERE