Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam Alfajiri ya leo Jumamosi kuelekea Sudan kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal
Yanga inatarajiwa kutua Sudan majira ya saa sita mchana kwa saa za Tanzania tayari kwa mchezo huo utakaopigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Al Hilal










Kila la kheri Wananchi...
ADVERTISE HERE