Al Hilal vs Yanga 'mbashara' Azam TV

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Oct 2022
Al Hilal vs Yanga 'mbashara' Azam TV

Azam Media wamethibitisha kuwa watarusha 'mbashara' mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika kati ya Al Hilal dhidi ya Yanga

Mchezo huo utapigwa Jumapili, Oktoba 16 2022, muda ni saa tatu usiku kwa saa za Tanzania (saa 2 Sudan)

Baada ya majadiliano ya siku kadhaa hatimaye Al Hilal wameruhusu Azam Media kurusha mchezo huo mbashara

Wananchi sasa watashuhudia historia ya aina yake ikiandikwa pale uwanja wa Al Hilal siku ya Jumapili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’