Kuelekea kumbukumbu ya miaka 23 ya kifo cha hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, klabu ya Yanga imezindua Jezi TOLEO MAALUM ili kuenzi mchango wake katika klabu na nchi kwa ujumla
Jezi hizo zinapatikana Makao Makuu ya Klabu, Jangwani. GSM Sports Salamander Tower - Samora, Msasani na Mlimani City kwa Tshs 40,000 tu


ADVERTISE HERE