Mayele anazidi kupasua anga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Oct 2022
Mayele anazidi kupasua anga

Baada ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwezi Septemba 2022, mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele anazidi kupasua anga Kimataifa

Jana Mayele alikuwa mjadala kwenye kituo maarufu cha televisheni huko Ufaransa Canal Plus

Golden King yaani Mfalme wa dhahabu ndivyo alivyoita Mayele kwenye mjadala huo wakiangazia mafanikio anayopata katika klabu ya Yanga msimu huu

Mayele amefunga mabao saba katika mechi tatu za awali ligi ya mabingwa, akiwa amefunga mabao mengine matano katika michuano mingine

Mabao matatu katika ligi kuu ya NBC na mabao mawili Ngao ya jamii yote akiwafunga Simba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’