Baada ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Yanga leo kimerejea mazoezini kujiandaa na mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal
Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi leo amewapeleka vijana wake Gym kuimarisha utimamu wa mwili baada ya mechi ngumu siku ya Jumamosi
Yanga ina siku nne za mazoezi kabla ya kuifuata Al Hilal kwa ajili ya mechi ya maamuzi kule Sudan






ADVERTISE HERE