Saa chache zijazo Yanga inashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Al Hilal ukiwa ni mchezo wa ligi ya mabingwa kusaka tiketi ya hatua ya makundi
Ni mchezo muhimu kwa Yanga kupata ushindi ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya makundi kuelekea mchezo wa marudiano ambao utapigwa wiki ijayo kule Sudan
Hii ni siku muhimu kwa kila shabiki wa Yanga na Mtanzania mzalendo ambaye furaha yake ni kuona nchi inawakilishwa vyema kwa Yanga kupata ushindi mnono
Muda ndio huu wa kuelekea uwanjani kwa Wananchi mlioko jijini Dar es salaam na mikoa ya jirani
Kwa wale mlio mbali msisahau kuiombea Yanga ili iweze kupata ushindi mnono leo
Kila la kheri Wananchi
ADVERTISE HERE