Kiwango cha Papi Kabamba Tshishimbi, kiungo huyu raia wa DRC kimekuwa juu tangu ajiunge na Yanga mwanzoni mwa msimu.
Mabao yake mawili aliyofunga dhidi ya Majimaji yanamfanya atimize mabao matatu, idadi ambayo hakuna kiungo mkabaji aliyefikia mpaka sasa.

Ndani ya Tshishimbi kuna wachezaji watatu yaani beki, kiungo na mshambuliaji.
Kwa maana anazuia, anatengeneza mabao na anafunga pia.
Ni wachezaji wachache sana duniani ambao wamebarikiwa kuwa na uwezo wa kipekee kama alionao Mcongo huyu.
Hapa Kamati ya Nyika ilifanya kazi ipasavyo! Ni faraja kuwa nae kikosini kwani hakika anaburudisha kumtizama akifanya yake.
Ukweli ni kwamba kwa hapa Bongo hakuna kiungo wa kumfananisha nae.

ADVERTISE HERE