Mapema leo Yanga ikiongozwa na Rais Injinia Hersi Said ilijumuika pamoja na watoto wenye uhitaji kwenye kituo cha Watoto yatima cha Ijango Zaidia Orphanage Centre kilichopo Sinza, Madukani
Ni utamaduni wa Yanga kurejesha kwa jamii kuwapa tabasamu wale wenye uhitaji


ADVERTISE HERE