Twendeni tukajaze Benjamin Mkapa - Injinia Hersi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Oct 2022
Twendeni tukajaze Benjamin Mkapa - Injinia Hersi

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amewataka mashabiki kuendelea kununua tiketi kwa wingi ili kuhakikisha wanaujaza uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumamosi katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal

Hersi amesema wamefanya maandalizi ya kutosha kuelekea mchezo huo lakini wanahitaji nguvu ya shabiki ili kuwaongezea hamasa wachezaji katika mkakati wao wa kupata ushindi nyumbani

Hersi amesema malengo ya Yanga ni kutinga hatua ya makundi, wamefanikiwa kuvuka hatua ya awali na sasa wanakutana na 'kigogo' Al Hilal

"Shabiki ni mchezaji wa 12 uwanjani hivyo nawaomba twende tukaujanze Uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumamosi," alisema Hersi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
17h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’