Mwanaharakati wa uzalendo Ekuzzi Kicheko amejitoa kupiga kampeni mitaani kuwahamasisha Wananchi kujitokeza kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal ambao utapigwa Jumamosi, Oktoba 08
Kwa hakika Mwananchi hupaswi kubaki nyumbani, twendeni uwanjani tukashangalie, mechi tutaangalia marudio Azam TV!




ADVERTISE HERE