Lomalisa gari limewaka

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Oct 2022
Lomalisa gari limewaka

Mashabiki wa Yanga wameanza kufurahia ufundi wa mlinzi wa kushoto, Mcongomani Joyce Lomalisa

Jana katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting,  Lomalisa aliongoza kwa kutengeneza nafasi kupitia krosi zake za kutokea upande wa kushoto

Katika mchezo huo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-1, Wananchi walitengeneza nafasi tano huku tatu kati ya nafasi hizo zilitengenezwa na Lomalisa

Katika krosi 20 ambazo Yanga walipiga, krosi saba zilitoka mguuni kwa Lomalisa, moja ilizaa bao la kwanza lililofungwa na Feisal Salum 'Fei Toto'

Lomalisa amempa kocha Nasreddine Nabi uhuru wa kuamua kimbinu. Anapohitaji timu yake ishambulie zaidi kutokea pembeni, Lomalisa anakuwa chaguo bora zaidi dhidi ya Kibwana Shomari

Lakini akihitaji timu yake izuie zaidi, ni wazi Kibwana anakuwa chaguo sahihi zaidi

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’