Kiungo wa Yanga Khalid Aucho ametajwa kuwania tuzo ya Mwanasoka bora wa mwaka nchini Uganda
Aucho anachuana na Yunus Sentum wa Vipers Fc na Denis Onyango wa Mamelod Sundowns
Wakati Mayele akiwania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwezi Septemba, Aucho unaweza kumpigia kura kupitia mtandao wa Football 256 aibuke na tuzo ya Mwanasoka bora wa mwaka Uganda

ADVERTISE HERE