Mabao mawili kwa Mwamnyeto

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Oct 2022
Mabao mawili kwa Mwamnyeto

Bao alilofunga nahodha Bakari Nondo Mwamnyeto katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting leo, limeongeza hesabu katika akaunti yake ya mabao msimu huu akiwa na mabao mawili

Baada ya kukosekana katika michezo kadhaa iliyopita, Mwamnyeto amerejea kikosini leo akionyesha kiwango bora

Anahitaji kuendelea kupewa nafasi kwenye, bila shaka atarejea katika ubora wake ambao wengi wamezoea kumuona

Mwamnyeto alikuwa na changamoto kadhaa nje ya uwanja hasa kuuguliwa na baba yake mzazi

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi hana wasiwasi na nahodha wake kwani anajua ni suala la muda tu, atamuona katika ubora wake

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’