Aliyekuwa Msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara amewakaribisha klabuni Afisa Habari Ali Kamwe na Meneja wa Digital Privaldinho
Manara amesema atawaunga mkono na kuwapa sapoti ili kuhakikisha wanatekeleza vyema majukumu yao
Aidha Manara amewataka Wananchi wawape ushirikiano katika kutekeleza majukumu yao


ADVERTISE HERE