Bodi ya Ligikuu Bara imeziondoa katika ratiba mechi tatu za Ligikuu ya NBC za mzunguko wa saba
Mechi Na. 53 (Singida/Simba), 54 (Azam/Dodoma) na 56 (Namungo/Yanga)
Mechi hizo zitapangiwa tarehe nyingine baadae. Mabadiliko haya ni ili kuzipa timu za Azam FC, Simba Sc na Yanga Sc muda zaidi wa Kujiandaa na kushiriki vema zaidi katika mashindano ya CAF CL na CC
ADVERTISE HERE