Klabu ya Yanga na kampuni ya Water Com wamesaini mkataba wa ushirikiano kutangaza maji ya Afya na Jembe Energy mkataba wenye thamani ya Tsh Milioni 120 kwa mwaka
Water Com pia watatoa katoni za maji 1500 kila mwezi ambazo zitatumika kwa timu zote za Yanga
Mkataba jumla una thamani ya Tsh Milioni 170, Milioni 50 ni thamani ya huduma mbalimbali zitakazotolewa na Water Com
Aidha Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amesema udhamini huo wameupeleka moja kwa moja kwa timu ya Wanawake, Yanga Princess
ADVERTISE HERE