Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa winga Denis Nkane 'The Wonder kid' wa kwelikweli
Pamoja na umri wake mdogo, Nkane ameweza kuaminiwa na benchi la ufundi la Yanga chini ya kocha Nasreddine Nabi, anapata nafasi ya kucheza mara kwa mara kwenye kikosi cha kwanza
Wananchi wana matarajio makubwa sana kwake kwani bado ana muda mrefu wa kuendelea kuwapa furaha
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
HAPPY BIRTHDAY NKANE...!
ADVERTISE HERE