Mwananchi hakikisha umepakua App rasmi ya Yanga ili uweze kujisajili kuwa Mwanachama au Shabiki
Kujisajili kuwa Mwananchama sasa ni rahisi kwani huhitaji kwenda katika Tawi na habari njema ni kuwa kadi zitapatikana haraka zaidi baada ya utaratibu wa kuzichapisha kuboreshwa
Ili Yanga iendelee kuwapa furaha Wanachama na Mashabiki, inahitaji kujiimarisha kiuchumi, ukijisajili unakuwa umetimiza wajibu wako na utakuwa na haki ya kulalamika pale unapoona mambo hayaendi ipasavyo
Pakua App kupitia PLAY STORE
ADVERTISE HERE