Klabu ya Yanga imetozwa faini ya Milioni moja kufuatia kutotumia lango kuu la kuingilia uwanja wa Samora kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Lipuli FC.
Pia Yanga imetozwa faini kwa kugomea kutumia vyumba vya kubadilishia nguo katika mchezo huo ambao iliibuka na ushindi wa mabao 2-0.
Mchezo huo ulitawaliwa na imani za kishirikina ambapo pia Yanga ikihofiwa kupuliziwa dawa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji hivyo kukataa kuvitumia.
Lipuli FC nayo imetozwa faini kwa kutotumia lango kuu ya kuingilia uwanjani.

ADVERTISE HERE