Kiungo fundi wa Yanga Mganda Khalid Aucho yuko tayari kurejea kikosini baada ya afya yake kuimarika
Aucho alikuwa nje kwa takribani siku 10 akiuguza majeraha aliyopata kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar
Hii ni habari njema kwa Wananchi kuelekea ratiba muhimu ya michuano ya ligi ya mabingwa ambapo Wananchi watachuana na Al Hilal, Oktoba 08 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Aucho amekuwa na mwanzo mzuri msimu huu akitumika katika michezo yote kabla ya kuumia katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar
ADVERTISE HERE