Tuna nafasi dhidi ya Al Hilal - Kaze

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Sep 2022
Tuna nafasi dhidi ya Al Hilal - Kaze

Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amesema wamepata nafasi ya kuisoma klabu ya Al Hilal katika michezo yao ya ligi ya mabingwa dhidi ya St George ya Ethiopia

Kaze amesema mchezo dhidi ya Al Hilal hautakuwa mwepesi kama ulivyokuwa mchezo uliopita dhidi ya Zalan Fc lakini bado wana nafasi ya kufuzu hatua inayofuata kama ilivyo kwa wapinzani wao

Hata hivyo Kaze amebainisha kuwa watakuwa na jukumu la kufanyia kazi changamoto zilizojitokeza katika mchezo uliopita hasa kutumia nafasi nyingi wanazotengeneza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’