Bodi ya Ligi Kuu imefanya mabadiliko ya Ratiba ya Ligi Kuu kwa baadhi ya mechi ambazo zilipaswa kupigwa mwishoni mwa mwezi huu
Taarifa iliyotolewa na Bodi mapema leo, imebainisha kuwa mabadiliko hayo yamefanyika kutokana na baadhi ya timu kuwa na wachezaji walio na majukumu ya timu za Taifa
Mchezo wa Ihefu Fc dhidi ya Yanga iliopaswa kupigwa Septemba 29 mkoani Mbeya, sasa utapigwa Novemba 29
ADVERTISE HERE