Yanga imetinga raundi ya kwanza michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Zalan Fc leo
Yanga imefuzu raundi ya kwanza kwa ushindi wa jumla wa mabao 9-0 baada ya ushindi wa mabao 4-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza
Fiston Mayele amefunga hat-trik ya pili dhidi ya Zalan Fc akiifikia rekodi iliyowahi kuwekwa na Mrisho Ngasa
Farid Mussa na Stephane Aziz Ki nao wameondoka na mabao katika mchezo huo ambao pengine Yanga ingeweza kuondoka na ushindi mnono zaidi kama wangetumia vyema nafasi walizotengeneza kwenye kipindi cha kwanza
Sasa aje huyo anayefuata iwe St George au Al Hilal tunaoooo...!



ADVERTISE HERE