Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh Mohammed Mchengerwa atakuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika kati ya Yanga dhidi ya Zalan Fc ambao utapigwa baadae leo
Mh Mchengerwa atawaongoza maelfu ya Wananchi katika mchezo huo ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa moja usiku

ADVERTISE HERE