Mwananchiiiiiii hupaswi kukosa pale uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumamosi kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa mkondo wa pili dhidi ya Zalan Fc kutoka Sudan Kusini
Yanga walikuwa wageni katika mchezo wa mkondo wa kwanza ambao ulipigwa wiki iliyopita na Wananchi kuibuka na ushindi wa mabao 4-0
Safari hii Yanga ni mwenyeji wa mchezo huo, wamepania kuweka rekodi ya aina yake katika michuano ya ligi ya mabingwa msimu huu, Zalan Fc lazima wafe nyingi sana....!
Uongozi wa Yanga umeweka kiingilio rafiki ili kuhakikisha kila Mwananchi anapata fursa ya kushuhudia mchezo huo katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Mzunguuko ni Tsh 2,000/- tu, VIP ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/-Β
Hakikisha umakamata tiketi yako mapemaaaaaa
ADVERTISE HERE