Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki jana aliwakata 'ngebe' wale walioanza kumbeza baada ya kufunga bao lililojaa ufundi mwingi
Aziz Ki hakutumia nguvu kubwa kumchambua mlinda lango wa Mtibwa Sugar Farouk Shikhalo akipasia mpira nyavuni kwenye dakika ya 92
Aziz amesema ni faraja kwake kufunga bao lake la kwanza msimu huu
"Ni furaha kubwa kwangu kufunga siku ya leo na kuisaidia timu yangu kupata ushindi, kwa hakika imekuwa siku nzuri sana kwangu," alisema Aziz
ADVERTISE HERE