Kesho Jumanne, Yanga inashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Tiketi zinapatikana katika vituo hivi;

ADVERTISE HERE