Mabingwa wa Tanzania Yanga wanashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuwakabili Zalan Fc katika mchezo wa ligi ya mabingwa hatua ya awali
Tunakumbushana viingilio; VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Unaweza kununua tiketi kupitia mitandao ya simu.

ADVERTISE HERE