Kesho Jumamosi kikosi cha Yanga kitashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kumenyana na Zalan Fc katika mchezo wa mkondo wa kwanza, hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika
Zalan Fc watakuwa wenyeji wa mchezo huo ambao utapiwa kuanzia saa kumi kamili jioni
Viingilio;
VIP A - Tsh 15,000/-
VIP B na C - Tsh 10,000/-
Mzunguuko - Tsh 5,000/-
Zalan Fc kutoka Sudan Kusini wamewasili nchini majira ya saa tisa Alasiri tayari kwa mchezo huo

ADVERTISE HERE