Mchezo wa ligi ya mabingwa hatua ya awali kati Zalan Fc dhidi ya Yanga sasa utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam
Zalan Fc wamepewa kibali na Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya uwanja wa Azam Complex
Mchezo huo utapigwa Jumamosi Septemba 10 saa kumi kamili jioni

ADVERTISE HERE