Hatma ya Kisinda kujulikana Ijumaa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Sep 2022
Hatma ya Kisinda kujulikana Ijumaa

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji inatarajiwa kukutana Ijumaa wiki hii kujadili masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na suala la winga Tuisila Kisinda aliyesajiliwa na Yanga

Yanga ilimsajili Kisinda kutoka klabu ya RS Berkane kwa lengo la kuchukua nafasi ya Lazarus Kambole ambaye ni majeruhi

Mchakato wa usajili wa Kisinda ulikamilishwa ndani ya muda wa dirisha la usajili lililofungwa August 31 hivyo Yanga iliandika barua kwa Kamati hiyo yenye mamlaka kisheria kusitisha leseni iliyokuwa imetolewa kwa Kambole ili apatiwe Kisinda

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’