Makamu wa Rais wa Yanga Arafat Haji ni miongoni mwa waombolezaji waliohudhuria msiba wa aliyekuwa Daktari wa klabu ya Simba Dk Yassin Gembe aliyefariki dunia jana
Msiba wa Dk Gembe uko nyumbani kwake Mbweni Jijini Dar es salaam
Dk Gembe alifariki dunia jana Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi
Mwili wa Dk Gembe utasafirishwa kwenda jijini Tanga kwa ajili ya mazishi

ADVERTISE HERE