Ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 18 itaendelea kesho Jumapili kwa michezo kadhaa kupigwa kwenye viwanja tofauti.
Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya St Louis kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa leo, Yanga inatarajiwa kushuka kwenye uwanja wa Uhuru Jumatano Februari 14 kuikaribisha Majimaji.
Ratiba ya michezo ya mzunguuko wa 18

ADVERTISE HERE