Poulsen ndio basi tena Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Aug 2022
Poulsen ndio basi tena Stars

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza mabadiliko ya benchi la ufundi la timu ya Taifa ambapo aliyekuwa kocha mkuu Kim Poulsen ameondolewa katika majukumu yake na kupelekwa kusimamia timu za vijana

TFF imemteua Hanour Janza kuwa Kocha Mkuu na kusaidiwa na Meckie Mexime Kocha Msaidizi

Janza amekuwa akiinoa klabu ya Namungo Fc inayoshiriki ligi kuu ya NBC

Golikipa mkongwe Juma Kaseja, ameteuliwa kuwa mkufunzi wa makipa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
17h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’