Siku mbili zimebaki dirisha la usajili kufungwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Aug 2022
Siku mbili zimebaki dirisha la usajili kufungwa

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limezikumbusha klabu zinazoshiriki ligi kuu, Championship, ligi daraja la kwanza na ligi ya Wanawake kukamilisha usajili wao kabla ya August 31 2022, saa 5:59 usiku

Ni siku mbili tu zilizosalia kabla ya dirisha hilo kufungwa ambapo Yanga Princess ni miongoni mwa timu ambazo hazijakamilisha usajili kwa ligi ya Wanawake

Usajili wa Yanga Princess unasimamiwa na Makamu wa Rais wa Yanga, Arafat Haji, bila shaka utakamilishwa ndani ya muda

Wakati wa kampeni za uchaguzi wa Yanga, Arafat aliahidi kuisuka upya Yanga Princess akibainisha kuwa kama watakosa ubingwa katika msimu ujao, aulizwe yeye

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’