Stars mguu sawa kuikabili Uganda Cranes

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Aug 2022
Stars mguu sawa kuikabili Uganda Cranes

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kesho Jumapili inaendelea na kampeni zake za kusaka nafasi ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) itakapoikaribisha Uganda Cranes kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Hii ni hatua ya pili kwa Taifa Stars katika mbio za kusaka kufuzu kwa fainali za Chan 2023 zitakazofanyika nchini Algeria kuanzia Januari 8 hadi Februari 5 2023

Katika hatua ya kwanza, Tanzania ilifanikiwa kuiondoa Somalia na kupata nafasi ya kucheza dhidi ya Uganda ili kupata timu itakayokwenda Algeria katika fainali hizo.

Kikosi cha Taifa Stars chini ya kocha Kim Poulsen kiko kambini kwa siku kadhaa kikijiandaa kwa mchezo dhidi ya The Cranes utakaofanyika kesho Jumapili kwa Mkapa

Mchezo huo utapigwa kuanzia saa kumi kamili jioni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’