Wakati vilabu vya Yanga na Simba wikiendi hii vikiwa na majukumu ya Kimataifa, ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 18 itaendelea kama kawaida kesho Jumapili kwa michezo kadhaa kupigwa kwenye viwanja tofauti.
Yanga na Simba zitakamilisha mzunguuko wa 18 katikati ya wiki baada ya kumaliza majukumu ya kimataifa wikiendi hii.
Leo Yanga iko uwanja wa Taifa kuivaa St Louis kwenye mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa hatua ya awali wakati kesho Jumapili Simba itakuwa kwenye uwanja huo kumenyana na Gendarmarie kwenye mchezo wa kwanza kombe la shirikisho hatua ya awali.
Ligi kuu ya Vodacom inatarajiwa kuendelea kesho;

ADVERTISE HERE