Mshambuliaji Yacouba Songne ameondoka nchini kurejea kwao Burkina Faso
Yacouba bado anaendelea na program ya mazoezi kujiimarisha kabla ya kurejea uwanjani
Licha ya kutosajiliwa katika kikosi cha Yanga, Yacouba ameendelea kuwa sehemu ya wachezaji wa Yanga akifanya mazoezi pamoja na kuendelea kupata matibabu
"Msiwe na wasiwasi kwa sasa napita kwenye wakati mgumu lakini nitakuwa imara tena," aliandika Yacouba kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

ADVERTISE HERE