Yanga yaweka rekodi mpya ligi kuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Aug 2022
Yanga yaweka rekodi mpya ligi kuu

Ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Coastal Union umeifanya Yanga kuweka rekodi ya aina yake wakicheza michezo 39 ya ligi kuu pasipo kupoteza mchezo

Yanga iliifikia rekodi ya michezo 38 iliyokuwa inashikiliwa na Azam Fc waliposhinda mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania

Mara ya mwisho Yanga kupoteza mchezo wa ligi kuu ni April 23 2021 mchezo dhidi ya Azam Fc

Septemba 06 Yanga itacheza na Azam Fc mchezo wa raundi ya tatu kunako uwanja wa Benjamin Mkapa Wananchi wakiwa tayari wameweka rekodi ya kibabe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’