Uongozi wa klabu ya Yanga na Kamati ya Utendaji chini ya Rais Eng. Hersi Said umepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali ya mashabiki wa Yanga waliokuwa wakielekea Arusha kuishangilia timu yao kwenye mchezo wa ligi kuu
Ajali hiyo imepelekea kifo cha shabiki maarufu Dada Hadija

ADVERTISE HERE