Mkwasa ataka mashabiki wafurike uwanja wa Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Feb 2018
Mkwasa ataka mashabiki wafurike uwanja wa Taifa
Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amewataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya St Louis.

Mchezo huo wa hatua ya awali unatarajiwa kupigwa kesho Jumamosi, Februari 10 kwenye uwanja wa Taifa.

Viingilio vya mchezo huo viliwekwa hadharani mapema jana vikiwa ni 'rafiki' kuwawezesha mashabiki wengi kuushuhudia mubashara uwanja wa Taifa.

VIP A ni Tsh 10,000/- wakati VIP B na C ikiwa Tsh 7,000/- huku mzunguuko ikiwa ni Tsh 5,000/-

Mchezo utaanza saa kumi kamili jioni na mgeni rasmi atakuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mh George Mkuchika
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
8m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’