Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Kim Poulsen ametangaza majina ya wachezaji 25 kuelekea mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya CHAN dhidi ya Uganda
Wachezaji saba wa Yanga wamejumuishwa katika kikosi hicho kinachotarajiwa kuingia kambini siku ya Jumapili
Nyota hao ni Aboutwalib Mshery, Kibwana Shomari, Farid Mussa, Dickson Job, Bakari Nondo Mwamnyeto, Feisal Salum na Salum Abubakar
Hiki hapa kikosi kamili
Aishi Manula
Abdultwalib Mshery
Beno Kakolanya
Kibwana Shomary
Shomary Kapombe
Nathaniel Chilambo
Dickson Job
Bakari Nondo Mwamnyeto
Kennedy Juma
Mohamed Hussein Tshabalala
Pascal Msindo
Jonas Mkude
Mzamiru Yassin
Kelvin Nashon
Bryson Raphael
Feisal Salum 'Fei Toto'
Salum Aboubakary 'Sure Boy'
Farid Mussa
Kibu Dennis
Abdul Suleiman 'Sopu'
Reliant Lusajo
George Mpole
Annuary Jabir
Danny Lyanga
Habib Kyombo