Mapema leo, kamati ya Leseni za Klabu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamefanya ukaguzi katika Klabu ya Yanga
Zoezi hili linafanywa kwa vilabu vyote vinavyoshiriki ligi kuu ya NBC msimu huu

ADVERTISE HERE