Manara aikumbusha TFF, rafu ya Inonga kwa Sureboy

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Aug 2022
Manara aikumbusha TFF, rafu ya Inonga kwa Sureboy

Aliyekuwa Msemaji wa Yanga Haji Manara amehoji ukimya wa Kamati ya saa 72 baada ya tukio la rafu mbaya ambayo mlinzi wa Simba Hennock Inonga alimfanyia kiungo Salum Abubakar 'Sureboy' katika mchezo wa Ngao ya Jamii uliopigwa August 13

Manara amehoji kwa nini Kamati hiyo huchukua hatua haraka pale wachezaji wa Yanga wanapofanya matukio ya aina hiyo lakini hali ni tofauti kwa watani zao Simba

Manara ametoa mfano wa tukio lililowahi kufanywa na Pascal Wawa wakati akiitumikia Simba misimu miwili iliyopita dhidi ya Ditram Nchimbi wa Yanga na hakukuwa na hatua yoyote iliyochukuliwa

Je hili nalo ndio limepita hivyo kimyakimya?

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’