Baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania hapo jana, kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini kujiandaa na mchezo unaofuata
Yanga itacheza na Coastal Union katika mchezo ambao Wananchi watakuwa ugenini
Mchezo huo utapigwa katika dimba la Sheikh Amri Abeid Jumamosi, August 20
ADVERTISE HERE