Katika toleo la zamani la Mwana Jangwani, habari zilipangwa kutoka juu kwenda chini lakini sasa mpangilio umebadilika kidogo
Habari zimewekwa katika makundi tofauti, kuna Habari zilizosomwa zaidi (MOST READ NEWS)
Weka kidole chako kwenye kadi moja wapo yenye habari halafu sukuma kushoto/kulia kusoma habari nyingine zilizopo katika eneo hilo
Pia kuna eneo la habari zilizowekwa karibuni yaani habari mpya (RECENT NEWS)
Weka kidole chako kwenye kadi mojawapo yenye habari sukuma kushoto/kulia kuona habari nyingine katika eneo hilo. Utafanya hivyo kwenye eneo la HIGHLIGHTS pia
Kwa ufupi mfumo uliotumika hapa hautofautiani na ule wa Play Store. App zimewekwa katika makundi, ukisukuma kushoto, kulia unaona App nyingine zilizoko katika kundi hilo
Hii ni maalum kwa wale wanaolalamika hawaoni habari mpya!