Kutwaa Ngao ya Jamii kwa msimu wa pili mfululizo tena kwa kuifunga Simba katika mechi zote mbili, inatosha kusema Yanga ndiye mfalme halisi wa soka hapa Tanzania
Yanga imekuwa timu ya kwanza kutwaa Ngao saba za Jamii. Timu kubwa inapimwa kwa mafanikio yake uwanjani na si vinginevyo!
Yanga imecheza mechi tano mfululizo dhidi ya Simba pasipo kupoteza mchezo
Wameshinda michezo mitatu na kutoka sare michezo miwili. Wananchi ndio wababe wa soka Tanzania, takwimu zinajieleza










ADVERTISE HERE